email us at
info@ntlp.go.tz
call us now

+255 (0) 26 2960150

National Tuberculosis and Leprosy Programme (NTLP) - Information Note

As Tanzania comes together to tackle the COVID-19 pandemic, it is important to ensure that essential services and operations for dealing with other infectious diseases are maintained. With this perspective, TB case finding initiatives, treatment and care has to continue. COVID-19 has presented challenges in control of TB as the diseases both affect lungs and symptoms are similar. This has made difficulties, worries and panic clinical staffs when confronted with patients to clinical staff to differentiate the signs of COVID-19 from that of TB

read more

Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma - Taarifa Muhimu

Kwakuwa Tanzania inakabiliana na janga la COVID-19, ni muhimu kuhakikisha kuwa huduma muhimu na mikakati ya kushughulikia magonjwa mengine ya kuambukiza zinadumishwa. Kwa mtazamo huu, juhudi za kuwatafuta wahisiwa wa ugonjwa wa Kifua kikuu, na matibabu ni muhimu ziendelee. COVID-19 imeonyesha changamoto katika udhibiti wa TB kwani magonjwa yote yanaathiri mapafu na dalili zinashaabiana. Hii imewawia vigumu watoa huduma katika vituo vya kutolea tiba na kusababisha uwoga na hata sintofahamu.

read more

NTLP LAUNCH THE “TAMBUA TB” M-HEALTH APPLICATIONS

In the effort of finding the TB missing cases in Tanzania (currently estimated at 84,000 annually) and continuing creating TB awareness, The National Tuberculosis and Leprosy Programme (NTLP) on 21st September, 2018 launched the "TAMBUA TB" mobile apps. The two USSD code based applications is for self screening and general TB knowledge to the general public as well as treatment adherence and literacy among the TB patients.

read more

Wabunge watakiwa kuwahamasisha wananchi kutokomeza Kifua Kikuu nchini

Wabunge nchini wamehamasishwa kushiriki katika kuongoza juhudi za kutokomeza ugonjwa wa kifua kikuu (TB) ambao unaonekana kuwa tishio kubwa. Hayo yameelezwa na mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh. Najma Giga aliyemuwakilisha Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai katika uzinduzi wa mtandao wa wabunge duniani wenye dhamira ya kutokomeza ugonjwa wa kifua kikuu uliofanyika katika ukumbi wa bunge jijini Dodoma.

read more