Phone: +255 (0) 26 2960150 | Email: info@ntlp.go.tz
Home / Media / Blog

WAZIRI UMMY AWATAKA WATOA HUDUMA ZA AFYA NCHINI KUTOWALIPISHA FEDHA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU KWA AJILI YA HUDUMA ZA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA KIFUA KIKUU

Waziri Ummy ameyasema hayo mapema hii leo alipoambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Global Fund Bw. Peter Sands.

Read more

WAZIRI UMMY MWALIMU ATETA NA MTENDAJI MKUU WA GLOBAL FUND

Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu leo amefanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands kuhusu uboreshaji wa huduma za afya nchini kupitia miradi ya Global Fund inayotekelezwa hapa nchini.

Read more

Watumishi Idara ya Kinga tekelezeni Majukumu yenu kwa Kuzingatia Weledi - Dkt. Godwin Mollel

Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel amefanya kikao kazi na watumishi wa Idara ya Kinga kikiwa na lengo la kupeana taarifa za kiutendaji na kujadili muelekeo wa huduma za kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya Kifua Kikuu na Ukoma. Kikao hicho kilichofanyika katika Hospitali ya Benjamini Mkapa, Jijini Dodoma. 

Read more

Wanahabari Kusini mwa Jangwa la Sahara Wapata Mafunzo Juu ya Kuandika Habari Sahihi za Kifua Kikuu

Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Wadau wa Jumuiya ya Afya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (ECSA - HC) wameendesha mafunzo kwa Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya Serikali na binafsi kutoka nchi 12 juu ya kuandika habari sahihi kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu hasa katika maeneo ya migodi.

Read more

Wizara ya Afya Endeleeni Kuimarisha Mfumo wa Ufuatiliaji Magonjwa - Dkt. Philip Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango  ameitaka Wizara ya Afya kuendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa mwenendo wa magonjwa ya kuambukiza hususani magonjwa hatarishi.

Read more