Tuongeze Kasi ya Mapambano Kutokomeza Ukoma Ifikapo 2030
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wataalam wa afya nchini kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Ukoma ili ifikapo Mwaka 2030 ugonjwa huo uwe umetokomea nchini
Read more