Waziri Ummy Ataka Nguvu Iongezwe Dhidi ya Kifua Kikuu
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya Kifua Kikuu ikiwemo kuwafikia wagonjwa na kutoa elimu ya ugonjwa huo kwa wananchi
Read more