Wanahabari Kusini mwa Jangwa la Sahara Wapata Mafunzo Juu ya Kuandika Habari Sahihi za Kifua Kikuu
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Wadau wa Jumuiya ya Afya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (ECSA - HC) wameendesha mafunzo kwa Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya Serikali na binafsi kutoka nchi 12 juu ya kuandika habari sahihi kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu hasa katika maeneo ya migodi.
Read more